Malezi na Elimu ya Kiinjili katika ...

... Nchi inayoendelea Tanzania.

Artikelnummer: 313907
ISBN/EAN: 9783872149077
Artikelart: Buch
Einband: Paperback
Format: 14,5 x 21 cm
Veröffentlicht: 01.01.2012
19,50 CHF
Lieferung innert 7 - 10 Werktagen
Alle Preise inkl. MwSt.
Judah B.M. Kiwovele aliandika doctoral thesis hii mwaka wa 1982. Alijaribu kuunganisha mapokeo ya kiutamanduni ya kibena na mafundisho ya Martin Luther ili kuonyesha njia ya "inculturation" ya Imani ya Kikristo katika mazingira na hali halisi ya Tanzania Kusini. Andiko hili linakuwa na maelezo mazuri ya mila na desturi ya kibena pamoja na ya hali ya wakati wa Uhuru wa Tanzania (Ujamaa).
Kwa hiyo andiko hili ni sauti nzuri na kumbukumbu muhimu ya njia ya kuelekea na kutengeneza uhuru nchini.
Kwa hiyo andiko lake limetafsiriwa sasa katika lugha ya Kiswahili.
Eigene Bewertung schreiben
Nur eingetragene Benutzer können Rezensionen schreiben. Bitte einloggen oder erstellen Sie einen Account